Hali Ilivyo Soko la Sinza, Wafanyabiashara Wafunguka!

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 3 years ago
preview_player
UCCzlwMi5I8ievuVCikUoQIA

Hali Ilivyo Soko la Sinza, Wafanyabiashara Wafunguka!

KUFUATIA uamuzi wa serikali wa kubomoa soko la Sinza na kujenga lingine jipya lenya ubora zaidi na utakaowafanya wafanyabiashara wa eneo hilo kufanya biashara zao katika hali ya usafi ili kuzuia mlipuko wa magonjwa, Global TV imefunga safari mpaka katika soko hilo na kushuhudia ujenzi ukiendelea.

Aidha Global TV imezungumza na wafanyabiashara na wanunuzi wanaoendelea na biashara kando kando kidogo kuhusiana na uboreshwaji wa soko hilo.