KURASA - Wakazi wa Sinza walalamika ubovu wa Barabara Sinza Makaburini

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 4 years ago
preview_player
UCyYzMKBalg6jMVNuC-JRMog

Wakazi wa Sinza jijini Dar es salaam pamoja na madereva mbali mbali wa vyombo vya moto wameilalamikia barabara ya Sinza Makaburini ambayo imeharibika kwa kuwa na mashimo makubwa licha ya kwamba barabara hiyo ilijengwa hivi karibuni.