Wakazi wa Kinondoni shamba wagoma kuondoka.

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 3 years ago
preview_player
UCyYzMKBalg6jMVNuC-JRMog

Licha ya wakazi wa Kinondoni shamba jijini Dar es salaam kupewa muda wa hadi oktoba 27 mwaka huu wawe wamebomoa nyumba zao wenyewe na kuondoka ili kupisha upanuzi wa mradi wa ujenzi wa barabara lakini agizo hilo bado halijatekelezwa.