Wananchi waanza kubomoa nyumba zao wenyewe.

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 12 months ago
preview_player
UCyYzMKBalg6jMVNuC-JRMog

Nyumba zaidi ya 50 katika eneo la Kinondoni shamba zimeanza kubomolewa na wamiliki wenyewe wa nyumba hizo ili kupisha ujenzi wa mradi wa barabara ambapo hadi kufikia tarehe 27 mwezi huu nyumba zipatazo 350 zitapaswa kuwa zimeshabomolewa ama na wamiliki wenywe au serikali kuchukua maamuzi ya kuzibomoa.