'NAMNA YA KUJISAJILI TaESA: Hatua Zote Unazohitaji Kufuata!'

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 8 months ago
preview_player
UCHwuQB_mS4DhgcQ-Eo_-zFg

Habari,
Je umekuwa ukisumbuka kuhusu kujua yanayohusu TaESA?
TaESA ni mfumo ambao hutoa internships nyingi sana kwa wahitimu wa vyuo. experience za TaESA huboresha CV na pia humpa muhisika nafasi ya kupata kipato chake. Ni rahisi kupata kazi au internship kupitia TaESA. Ni zaidi ya ajira portal kwa upande mwingine.

jinsi ya kujisajili taesa ni rahisi. kupitia video hii angalia namna ya kujisajili taesa hatua zote mwanzo mpaka mwisho. hatua za kujisajili kwenye mfumo wamaombi ya internships na ajira (TaESA) zote zimeoneshwa kwa usawa.

taesa hutoa nafasi za internships kwa wahitimu wa vyuo vikuu na vya lkati. pia TaESA hutoa nafasi za mashirika mbalimbali kutangaza nafasi za ajira kwao na nafasi hizo kutangazwa kwa watu waliojisajili kwenye mfumo huu.

kujisajili taesa ina faida nyingi. kupata ujuzi na uzoefu wa ziada kazini. kujua namna soko la ajira lilivyo kwa wakati husika na kadhalika. kusoma zaidi kuhusu mfumo huu bonyeza hapa chini


usisahau #kusubscribe kulike na kucoment maoni yako chini ya video zetu ikiwemo hii hapa.

taesa registration

taesa portal registration

taesa online registration

taesa registration 2022

taesa registration online

#taesa #ajiraportal #internship TaESA internships TaESA interview ajirampyazone media taesa login Namna ya kujisajili taesa

#kujisajiliTaesa #TaesaRegistration #AjiraZaTaesa #taesaApplication.

Vitu vya muhimu kuhusu TaESA!
Ajira za taesa, Reset pasword taesa, Activate account ya taesa, Hatua za kujisajili kwenye mfumo wa taesa, Jinsi ya kuingia kwenye mfumo wa taesa, Taesa 2023, Ajira mpya taesa 2022, dar es salaam, how to register into ajira portal, tanzania

💬 Comments
Author

Habari
Je? ni lazima vyeti vithibitishwe na mwanasheria au mtu anaweza tu ku scan vyeti vyake kisha akavi attach.

Author — Clinton Martin

Author

Maana copy ya cheti ndo huwa inapigwa muhuri lakini cheti original hakipigwi, sasa je nita attach pdf file ya copy ya cheti au pdf file ya scanned original certificate?

Author — Clinton Martin

Author

Mkuu habari. Je siwezi kuattach provision results(Transcript) pekee kwasasahivi huku nikiwa nasubiria cheti changu baada ya kutunukiwa Degree Rasmin?

Author — Meddy

Author

Yaani me napata shida hapo kwenye kucreate account, naweka email naambiwa "email is required " kwann na ndo email yangu ninayoitumia hadi sasa?

Author — Jacquline Varry

Author

Mm nmefanikiwa kufungua account Ila pale kwenye kujaza details nkijaza mwsho kabisa kwenye kuregister inasema error

Author — Samira Satary

Author

samahani
mimi Tatizo langu wametuna cv comments kuwa natakiwa "confirm my certificate" na vyote nilisha verify

Author — Samweli Mvungi

Author

Habari
Mimi shida yangu ipo katika sehemu ya kujaza taarifa za chuo na kozi niliosoma, inaonekana chuo kipo ila kozi haipo so nashindwa kusave nafanyaje apo?

Author — Lilian D. Chipindula

Author

Sorry me kuna details nilisahau kujaza nika submit cv na ikawa verfied already ...vip naeza nika edit ni submit cv tena?...na pia vyeti nilieka ambavyo havina muhuri nmebadilisha now nimeeka vyenye muhuri inakuaje apo kuna shida yoyote kwn?

Author — Reeny mosha

Author

Ndug hapo mwishon napafa shida niki submit cv inaleta hilo Note:
Afu kuna vipengele viwili sasa inagima kusubumiti naomb niwekee namba ako niwez kutatua hii changamoto

Author — AYUBU SIWAKWI

Author

NA KUNA HIZI REGISTRATION FORM NAZIONA ONLINE JE ZINATUHUSU KIVYOVYOTE?

Author — Catherine Muya

Author

Na ninapojisajili nilazima kukamilisha 100%????
Maana mimi sina experience yoyote ya kazi na sijapita JKT na hivivyote vilionekana kama ni Optional

Ila inaonekana bado nina 80%nifanyeje na nikisubmitt sio ujumbe oote

Author — Catherine Muya

Author

Ukisha fanikiwa ku ki-creat account Sasa kwenye ku-log in mbn inagoma msaada plz

Author — Juma Salumu