' MAGUFULI aelewe UTAWALA wake Umekuja na UTAPITA' - MBOWE

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Description
Invalid campaign token
' MAGUFULI aelewe UTAWALA wake Umekuja na UTAPITA' - MBOWE 4.5
#Mbowe #EstherMatiko #Chadema #Upinzani #Ukawa #CCM #Tanzania

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Patashika bomoabomoa ya stendi ya Mwenge"
-~-~~-~~~-~~-~-

Download — ' MAGUFULI aelewe UTAWALA wake Umekuja na UTAPITA' - MBOWE

Download video
💬 Comments on the video
Author

Kila Jambo Lina Mwisho Mungu Atukumbuke tu Tumuogope Mungu siyo Binadamu Mungu ndiye kila kitu katika Maisha yetu

Author — Samson Magesa

Author

Chadema inaongoza CCM inatawala tuuu...

Author — Denis Njiro

Author

Watu hawaoni reality wao ni ushabiki tu

Author — George Zablon

Author

TUNAKUELEWA SANA KAMANDAA
MUNGU AKUTIE NGUVU KAMANDA MBOWE

Author — ELIZABETH MATILIA

Author

Pray Aganst the interruption of Demcras practices(by Prophet Tb Joshua)

Author — Valeriana Nziku

Author

Kweli kabsa ccm mnatakiwa mpambane jukwaan naskuwafunga wengne midomo na prasta kisha nyinyi muongee mnaogopa nn

Author — Ramadhani Ally

Author

ASANTE MH MBOWE KWA MANENO YENYE HEKIMA NA BUSARA YALIYO JAA UJUMBE MZITO BABA KARAMA YAKO UNAITUMIA VIZURI JAPO UNAO TUPIGANIA BADO KUNA WENYE UELEWA MDOGO WANATUMA UJUMBE WA MATUS KEJELI DHARAU LAKINI HATA YESU ALIKUJA KWA AJILI YAKUWAOKOA WENYE DHAMBI LAKINI HAOHAO WALIMTEMEA MATE LAKINI HAKUACHA KUITENDA KAZI ALIOTUMWA NA BABA NAWE USIKATE TAMAA KUTUPIGANIA TUSIO JITAMBUA MUNGU NDIE ATAKAE KULIPA

Author — Aulelius Mgaya

Author

Ooh My God....You're my saviour ....am so inspired. ..
100% well truth

Author — Amos Moses

Author

Mheshimiwa Mbowe unaongea point tupu lakini wajinga wa chama fulani wameshalogwa na ujinga wa ccm

Author — Raymond Msigwa

Author

ofcoz no longer at ease but a history will judge us

Author — YUSUFU KAZAMBA

Author

Yaani kweli mheshimiwa kila jambo lina mwisho wake

Author — Samweli Kaiga

Author

mbowe tunakuombea kueni mjasiri tupo nyuma yenu

Author — Amiri Msuya

Author

Mbowe kweli kabisa mjamaaaa maisha magum mm mlinzi boss wangu analipwa million moja kwa mwezi mm nalipwa aslimia 2.5 ya hiyo sina wa kunisemea nakomaaa ili mladi sifi rai yangu Rais aongeze mishahara hata wawekezaji wanaangalia viongozi wa nchi wanasema nn

Author — Saddy Kayage

Author

Hyu utawala utapita tu hatake asitake, tena wapinzani sijuwi hii tume huru mtafanyeje

Author — Fredreck Mwakalinga

Author

hata kama utawala utapita hatuchagui wezi tena, ,atakuja kiboko zaidi.

Author — mashmash mkeyenge

Author

Ni kweli kabisa Mh MBOWE kwni wapane wapinzani anaopa nini au hajiamin na uongozi wako

Author — Aboubakar Massooud

Author

Big up mr:chair man, God is all 4 all the time, and one time we going to win. This is a lion of chadema.

Author — Charles Murimi

Author

Ni kweli kabisa Mh MBOWE kwni wapane wapinzani anaopa nini au hajiamin na uongozi wako

Author — Aboubakar Massooud

Author

kila kitu kitapita hata wewe ukitawala utapita pamoja na kwamba kutawala kwako ni ndoto mbona umengangania uenyekiti hutaki kuachia wengine kubali pia nawewe una matatizo yako

Author — Pantaleo Kulaya

Author

yeye watu wadogo hatakulima ataki walime wavuvi hawatak wavue wafanyabiashara hawanafursa.mambo tu Mzee mbowe.

Author — Amanzi Sandari