USIPITWE NA HIZI BARABARA ZA SINZA ''HAPA NDIO SINZA KUMEKUCHA NA TAA ZAKE''

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 1 years ago
preview_player
UCg_GB9WS6YKHilQZIJEC4kg💬 Comments
Author

Barabara iliopo mbele ya air port kuelekea mahotel yaliopo karibu ya air port mbaya aibu kwa wageni mmeshindwa kuitengeneza

Author — Um Ranim

Author

Tuambie kaka Makonda vipi pale jangwani mmefikia wapi... Yaani bora hata uachane na maeneo mengine lakini jangwani... Jangwani jangwani jangwani jameni pana shida jangwani... Sijui mkuu wa mkoa kwa nini haufanyi utaratibu wa haraka

Author — Michael Siweya

Author

Huyu muongo hata makongo alisema hivyo hvyo

Author — lugo

Author

Yeye anaona sisi ni wajinga tutakutana kwenye sanduku la kula mnatuona sisi wajinga ee!

Author — Issaya Sosolo