Ujenzi wa barabara ya Sinza - Tandale wapongezwa.

  • 🎬 Video
  • ℹ️ Published 3 years ago
preview_player
UCyYzMKBalg6jMVNuC-JRMog

Wakazi wanaoishi pembezoni na wanaotumia barabara ya Tandale hadi Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, wameishukuru serikali kwa kuijenga kwa kiwango cha lami na kueleza kuwa itakuwa ni suluhu ya adha ya usafiri na uharibifu wa vyombo vya moto.